Jamani tamaa mbaya sana nimejifunza kitu usitamani ya mwenzio ridhika na hali yako ya maisha halafu tuwasikilize waume zetu na pia hakuna mapenzi ya dawa faida zake na hasara zake kuwahalibu mpango wa maisha na ndoa pia like zenu hapa kama wewe wanamke umejifunza nini hapa 🥺🥺🥺
Sikuzote kwahaya maisha ishi maishayako usiwai tamani maisha ya mwengine Amakweli tamaambele mauti nyuma Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo nimejifunza sanaaaa
Anko JY shukra mamboyako mazuri sana wenye kuerika muwerimike nyìye nyie hakuna mapenzi yadawa ukiona mumewe anacepuka zidisha jihudi kusari sana na usimupe nafasi yakukusahau uyu SArima asipate muganga kama urewa tembere ra uwani munamukumbuka kibokoyawo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Marafiki wengine sio marafiki Ila ni zaidi ya waongo na wakuwapotosha katika mashauri nakuwapoteza na kuwazika ,tena usimkimbie mwenzio akiwa kwenye matatizo maana hakuna aijuae kesho yake
Pole sana Ibrahim
😊😊😊😊😊🎉
Tamaha mbaya kwe li marafiki wa baya kwe li wa na kushauriya vibaya😂😂😂😂
Nimejifunza saaana jamani kweli tamaa mbaya
dah iistoli imeniuma sana mungu atakulipia iblahim
Anko j unasehem yako binguni wallah..!
Simulizi nzuri Sana tamaai mbaya tujifunze kuridhika
Pole sana dada yangu nimejifunza mengi kutoka na nakisachako pole sana
Tamaa mbele umauti myuma plz nawasihi wanawake tuache tamaa
Kabisa
Tamaa mbaya rizika kila huko najo
Kweli
Tamaa mbaya kweli unawesa kukosa yote
Pole sana mume wangu Ibrahim
Asante Anko Jay nimejifuza kweli dunia hii nimatatizo
Tamaa mbaya siku zote wanawake turidhike na vile tulivonavo
Haswaa
Tamaa mbaya sana turizike na tunachokipewa maana ukiendekeza tamaa mwisho wa siku msiba... Asante ankoJay Kwa story yenye mafunzo
😂😂😂😂
Jamani tamaa mbaya sana nimejifunza kitu usitamani ya mwenzio ridhika na hali yako ya maisha halafu tuwasikilize waume zetu na pia hakuna mapenzi ya dawa faida zake na hasara zake kuwahalibu mpango wa maisha na ndoa pia like zenu hapa kama wewe wanamke umejifunza nini hapa 🥺🥺🥺
Kabisa tamaa mbaya turizike nahalizetu
Hujafa hujaumbika malipo ni duniani
Much ❤️🥰 kwa anko jay😂😂🙌🙌🙌
Ila Anko j unawez kutudaka Sanaa kwenye simuliz maish marefuu Sanaa kwako🥳🥳
Asante sana my brother from another mother
Asante sana Anko jay nimejifunza mingi sana kuwa mashoti sio wazuri so thanks very much always 💕💕💕😘 you Anko jay
Salima mwisho wa ubaya ni aibu 2 yni hukumbu fadhira zake na kumbk malipo ni hpahap duniani
Pole Sana Dada shatani halali yuko kazini kila wakati
Much love kwa msimulizi wetu Anko jay bandika bandua ❤️❤️❤️
Kwahakika nimeyipenda iyi simulizi
4:05:05 Anko Jay you are always my favorite. Hujawahi kuniangusha
Be blessed ❤
Tamaa mbaya sana jamn.
Tamaa mbaya sana
Tamaa mbsya
Salma mwisho waubaya aibu
Tamaa mbaya
Saaana
Upo juu anko jay simulizi nzuri sana
Kwa kweli hii simulizi ni nzuri Sana,iko na mafunzo na kuelimisha jamii.wanandoa waache tamaa
KARMA 🔥🔥WONDERFUL STORY ANKO JAY
Daaaah na yamekukuta kweli
Tamaaa mbele mauti nyumaa😫😫😫😫
Asante Kwa Simulizi Tamu... Much ❤️ Kwa msimulizi wetu ANKO JAY
Sikuzote kwahaya maisha ishi maishayako usiwai tamani maisha ya mwengine
Amakweli tamaambele mauti nyuma
Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo nimejifunza sanaaaa
That’s why I don’t like friends no no
Daaah simuliz nzuri xaan na pia ina mafunzo pia nimekuelewa xaan anko J❤️🔥🔥🙌
Simulizi za Anko huwa zna mafunzo na znasimumua vbaya mno😍😍
Sana
Jaman nalia mwenzenu 😢😢😢 umtie kilema kisha umnyanyase
Imeniuma kweli
Habari za mashoga hizo pole sana Salma
Tamaa mbaya kweli
Saaana
Naam Anko Jay kukupenda
Nimejifunza mengi
Asante sana anko kwa simulizi zuri
Anko j mwenyew🔥🔥
Chumbageni shule ya msingi usagara secondary umenikumbusha mbali anko jay aisee I love tanga
Mmmmh,mim tanga ina historia mbaya kwangu
Leo nimewahi siti pamoj san anko jay
Ahsante anko jay
Asante
Asante Sana Anko Jay Kwa sauti Tamu kutoka simulizi mix ♥️♥️♥️
Tabia ya kitaman maisha ya mtu mwingine sio sawa ridhika na maisha mlio nao
Daaaa tama hio
Hongereni pia
Nljua tu lazma ujsifie anko🤣🤣🤣🤣
Daaah,maskin Ibrahim alioa mwanamke mwenye tamaa asiyekuwa na utu wala kumbkumb ya wema
Jaman macho ya Ibrah, itakuaje sasa, we nae Salma.
❤❤❤
Asie funzwa na mama ufunzwa na ulimwengu...
Tamaa mbaya sana 😭
Ahsante sana anko Jay kwa hakika tumejifunza mengi tu be blessed 🙌
Nimejikuta natokwa na machoz duh dunia hii😭😭😭😭
Anko jei Bana hahaha
Mkataa pema pabaya panamuita 😃😃😃yan nataman kucomment kila nkcklza hii simulizi
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ww anko jay kwa kujisifia ujambo
Hajambo kweli kwa sifa
Nimepata funzo katika hi simulizi asante msimuliaji na muandishi
Leo nimechelewaaa ngoja niskilize
Wa mwanzo mie like 100 apo
Duh🤔 jmn wanawake tutafika mbinguni tumechoka mno..wacha nimalizie story nitarudi tena kucomment..Anko jay big up 👌🌹🌹
Hadi natowa machozi kweli tamaa yako imekuponza
Ndio kwanza naanza ila story ina nibamba ivi wacha niendelee ntarudi 💚❤💛Asante Anko Jay like nyingi kwako.
Safi sana chamoto ulikipata tokana na tamaa zako simulizi hii kwakweli inamagunzo halisi,akina dada/mama kazi ni kwenu
Anko JY shukra mamboyako mazuri sana wenye kuerika muwerimike nyìye nyie hakuna mapenzi yadawa ukiona mumewe anacepuka zidisha jihudi kusari sana na usimupe nafasi yakukusahau uyu SArima asipate muganga kama urewa tembere ra uwani munamukumbuka kibokoyawo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Alivuna alichopanda
Salma hana imani hakumbuki wema salma utalipwa mume ana radhi zake
Salma ukome mbwa weweee
Wewee😘unajuwa kutokosha ANKO JAY bandika bandua 🌹like na comment zote juu yako
Ni kweli binadamu haishi kuumbwa ,na kabla hujafa hujaumbika
napendag sana hadithi zako huna shoo mbovu
Nimejifunza kukaa mbali na tamaa
Salma umekosea kumwambia jirani siri zako za ndani
Salma tunashukuru kwa simulizi nzuri saaaana mashallah🥰
Ank9 jay
Uyu salma sio wa jina wangu mana wakina salma hatuko hivyo
Marafiki wengine sio marafiki Ila ni zaidi ya waongo na wakuwapotosha katika mashauri nakuwapoteza na kuwazika ,tena usimkimbie mwenzio akiwa kwenye matatizo maana hakuna aijuae kesho yake
He majanga hawa waganga mtihani
Ayo uliyastahili kabisaa na mungu anakuona
Nimejifuza mengi
Mambo mazuri ya anza mwaka mpya anko jay Mungu akulinde
Daaaa tamaa baya jamani fuzo Hilo na pia Salima nakula pole sana utafanyeje ? Ndio maisha ulio changua
Uyu mganga au dalali wa wake za watu mjin😂😂😂😂
Umenitamanisha kwetu tanga
Asante sana simulizi mix 👌
Shukrani sana
Mimi wa kwanza leo😅❤
Limbwata lkzd mwsho wa siku unakua chiz😂😂😂
Anko jay mwenyewe haya YAMEMKUTA yapi? nasikiliza halafu nitakoment tena like zenu kwa simulizi mix🥰🥰🥰🥰🥰
Simulizi nzuri sana na ina fundisha
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Simulizi yenye mafunzo 💖💖
Loo kweri Tamaa mbele mautinyuma
❤hatujui ilatwasikiza😍🇰🇪
Pole